Dhamini TeeVo Leo
Dhamini uchapishaji na usambazaji wa Nakala za Rhapsodi ya Uhakika Toleo la TeeVo mahususi kwa ajili ya Teenagers (vijana wa rika kati ya miaka 13 hadi 19). Tunachipisha vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili na kiingereza na tunavigawa bure kwenye shule za sekondari hasa shule za serikali.
Kuwa sehemu ya kampeni hii mwaka huu wa Ukombozi - 2024. Ungana nasi kuwafikia vijana LAKI MOJA (100,000) wa kitanzania kwa nakala ngumu za TeeVo.
Tumia hii lipa namba ya Vodacom: 8177098.
Jina: Amedeus Raphael - TNIEAC4
Idadi ya Vijana kati ya umri wa miaka 13 mpaka 19 ni zaidi ya Milioni 7 ndani ya taifa la Tanzania, kwa pamoja tunaweza kuwafikia kwa injili hii ya Kristo yenye kuleta uzima wa Roho, nafsi na mwili.
Shiriki kikamilifu, kuwa sehemu ya mabadiliko unayotamani kuyaona na Mungu mwenyezi, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, akubariki Sana.
Comments
Post a Comment