Posts

Showing posts from 2024

Siku ya Kufikia Ulimwengu Mzima kwa Rhapsodi ya Uhakika

Image
Yohana 14:21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake. Usambazaji wa nakala za Rhapsodi ya Uhakika katika stendi ya Simu 2000 na ya wilaya ya Ubungo. Dhihirisha Upendo wako Kwa Bwana Yesu msimu Kwa kudhamini nakala za Rhapsodi ya Uhakika ili zisambazwe Kila Mahali ndani ya ardhi ya Tanzania. Lipa namba: 5511503 (voda). Rhapsodi ya Uhakika ipenya na kusambaa ndani ya soko la simu 2000 .   Kampeni hii kubwa bado inaendelea mpaka mwisho wa mwezi huu. Tafadhali ungana nasi kukamilisha azma hii na kutimiza jukumu lenye thawabu hapa duniani na Mbinguni pia.  Wasiliana nasi kwa namba hizi  0736000999. #rhapsodiyauhakika #tanzania🇹🇿 #tnieac4 #rhapsodyofrealities #injili #rhapsodyman #teenagers #teens #kijana #kimara #kimaramwisho #kimarastopover #daressalaam #ubungo #reachoutworldday

Dhamini TeeVo Leo

Image
  Dhamini uchapishaji na usambazaji wa Nakala za Rhapsodi ya Uhakika Toleo la TeeVo mahususi kwa ajili ya Teenagers (vijana wa rika kati ya miaka 13 hadi 19). Tunachipisha vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili na kiingereza na tunavigawa bure kwenye shule za sekondari hasa shule za serikali.  Kuwa sehemu ya kampeni hii mwaka huu wa Ukombozi - 2024. Ungana nasi kuwafikia vijana LAKI MOJA (100,000) wa kitanzania kwa nakala ngumu za TeeVo. Tumia hii lipa namba ya Vodacom: 8177098.  Jina: Amedeus Raphael - TNIEAC4 Idadi ya Vijana kati ya umri wa miaka 13 mpaka 19 ni zaidi ya Milioni 7 ndani ya taifa la Tanzania, kwa pamoja tunaweza kuwafikia kwa injili hii ya Kristo yenye kuleta uzima wa Roho, nafsi na mwili.  Shiriki kikamilifu, kuwa sehemu ya mabadiliko unayotamani kuyaona na Mungu mwenyezi, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, akubariki Sana.  

Maungamo ya Mwaka wa Ukombozi - 2024

Image
Fanya Ukiri/maungamo haya Kila siku ya Mwaka huu wa Ukombozi.  Fanya madai ya kile alichokupa Bwana. Nabadilisha vocha na kuponi zangu kuwa thamani halisi, zinakuwa mali halisi.  Mimi ni neno la Mungu lililodhirika kuwa mwili kama Yesu alivyofanyika mwili. Mimi ni udhihirisho wa Upendo wa Mungu na Neno lake Tazama katika roho, na utaona kazi ya Mungu. Waovu hawatashinda dhidi ya mwenye Haki. Kwenda kanisani mwaka huu ni jambo la Utukufu.  Ndani ya Kristo, hakuna kubabaika. Ndani yake maisha yangu ni imara. Bwana ndiye Mchungaji wangu sitokuwa na uhitaji wowote.  Sheria ya roho wa uzima inafanya kazi ndani yangu. Hakuna magonjwa, wala udhaifu, nguvu ya ukombozi inafanya kazi ndani yangu.  Bwana amenishibisha kwa mambo mazuri, mimi ni wa thamani katika macho ya Bwana.  Mwaka huu, nitakuwa na uzoefu wa udhihirisho wa Ufalme wa Mungu. Kuna udhirisho wa Kristo ndani yangu zaidi yangu. Ninasukumwa na Roho Mtakatifu, Roho wa Mungu ananiongoza kufanya vitu, kutenda...