Posts

Siku ya Kufikia Ulimwengu Mzima kwa Rhapsodi ya Uhakika

Image
Yohana 14:21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake. Usambazaji wa nakala za Rhapsodi ya Uhakika katika stendi ya Simu 2000 na ya wilaya ya Ubungo. Dhihirisha Upendo wako Kwa Bwana Yesu msimu Kwa kudhamini nakala za Rhapsodi ya Uhakika ili zisambazwe Kila Mahali ndani ya ardhi ya Tanzania. Lipa namba: 5511503 (voda). Rhapsodi ya Uhakika ipenya na kusambaa ndani ya soko la simu 2000 .   Kampeni hii kubwa bado inaendelea mpaka mwisho wa mwezi huu. Tafadhali ungana nasi kukamilisha azma hii na kutimiza jukumu lenye thawabu hapa duniani na Mbinguni pia.  Wasiliana nasi kwa namba hizi  0736000999. #rhapsodiyauhakika #tanzania🇹🇿 #tnieac4 #rhapsodyofrealities #injili #rhapsodyman #teenagers #teens #kijana #kimara #kimaramwisho #kimarastopover #daressalaam #ubungo #reachoutworldday

Dhamini TeeVo Leo

Image
  Dhamini uchapishaji na usambazaji wa Nakala za Rhapsodi ya Uhakika Toleo la TeeVo mahususi kwa ajili ya Teenagers (vijana wa rika kati ya miaka 13 hadi 19). Tunachipisha vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili na kiingereza na tunavigawa bure kwenye shule za sekondari hasa shule za serikali.  Kuwa sehemu ya kampeni hii mwaka huu wa Ukombozi - 2024. Ungana nasi kuwafikia vijana LAKI MOJA (100,000) wa kitanzania kwa nakala ngumu za TeeVo. Tumia hii lipa namba ya Vodacom: 8177098.  Jina: Amedeus Raphael - TNIEAC4 Idadi ya Vijana kati ya umri wa miaka 13 mpaka 19 ni zaidi ya Milioni 7 ndani ya taifa la Tanzania, kwa pamoja tunaweza kuwafikia kwa injili hii ya Kristo yenye kuleta uzima wa Roho, nafsi na mwili.  Shiriki kikamilifu, kuwa sehemu ya mabadiliko unayotamani kuyaona na Mungu mwenyezi, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, akubariki Sana.  

Maungamo ya Mwaka wa Ukombozi - 2024

Image
Fanya Ukiri/maungamo haya Kila siku ya Mwaka huu wa Ukombozi.  Fanya madai ya kile alichokupa Bwana. Nabadilisha vocha na kuponi zangu kuwa thamani halisi, zinakuwa mali halisi.  Mimi ni neno la Mungu lililodhirika kuwa mwili kama Yesu alivyofanyika mwili. Mimi ni udhihirisho wa Upendo wa Mungu na Neno lake Tazama katika roho, na utaona kazi ya Mungu. Waovu hawatashinda dhidi ya mwenye Haki. Kwenda kanisani mwaka huu ni jambo la Utukufu.  Ndani ya Kristo, hakuna kubabaika. Ndani yake maisha yangu ni imara. Bwana ndiye Mchungaji wangu sitokuwa na uhitaji wowote.  Sheria ya roho wa uzima inafanya kazi ndani yangu. Hakuna magonjwa, wala udhaifu, nguvu ya ukombozi inafanya kazi ndani yangu.  Bwana amenishibisha kwa mambo mazuri, mimi ni wa thamani katika macho ya Bwana.  Mwaka huu, nitakuwa na uzoefu wa udhihirisho wa Ufalme wa Mungu. Kuna udhirisho wa Kristo ndani yangu zaidi yangu. Ninasukumwa na Roho Mtakatifu, Roho wa Mungu ananiongoza kufanya vitu, kutenda...

Kongamano la Dunia Nzima la Mtandao wa Watafsiri wa Kimataifa

Kwa miaka kadhaa zaidi muongo Moja na nusu  mtandao wa tafsiri wa Kimataifa umekua na kupanuka katika pembe zote nne za Dunia! Ndani ya kipindi hichi chote tumeweza kutafsiri nakala rhapsodi ya Uhakika katika lugha 7858 na kufikia nchi 242 za ulimwengu Mzima! Tumeweza kufikia miji na vijiji mbalimbali duniani kwa baraka ya nakala hizi za rhapsodi.  Mabilioni ya watu wapata nakala hizi katika lugha wanazoweza kuzielewa kwa ufasaha zaidi na neno la Mungu liwewafikia wengi kuliko ilivyokuwa Awali!   Tumekuwa na shuhuda kubwa na za kipekee kutoka kwa wafaidika wa Rhapsodi zinazogusa kila nyanja ya maisha, kuanzia Wokovu wa nafsi, afya, uchumi, amani na usalama katika familia, miji na Mataifa. Hakika rhapsodi ya Uhakika imekuwa ni malaika tarishi mwenye kubeba Habari njema za injili hai ya Bwana wetu Yesu Kristo.  Katika mwaka huu 2023, mtandao wa tafsiri umeanda kongamano kubwa kabisa la Dunia Nzima, litakalo onyesha kazi mbalimbali za uinjilisti zinazoendelea kupit...

Healing Streams Live Healing Services With Pastor Chris

Healing Streams Live Healing Services With Pastor Chris : HealingStreams.TV is a healing and miracle channel that creates an atmosphere for faith and the miraculous in and around our viewers, Discover the miraculous and build your faith as you experience the infinite power of God that will change your life forever. This is the biggest healing epoch event in the whole world. You don't have to miss it. You don't need to pay a coin to participate on this record breaking event. All that you need to pay is your attention and readiness to receive and participate in various praying sessions along the way toward the event.    God's want you to be well, he want you be in best shape, sound, healthy and fit.  Thus why he has organized such an event for you and your loved ones so that you can experience his love, compassion and care. This epoch event has been designed specially for you in mind and all you need to do is to click the link above, register and get ready to taste the good...

Giver of Life

Image
I affirm that I am the light of the world and the salt of the earth!  I belong in God’s superior class of divine beings; therefore I look beyond the natural realm of existence to my heavenly rights, blessings and provisions in Christ Jesus!  I recognize today and take hold of my divine right to live in health, prosperity, victory, success, dominion and excellence!  The devil and his demons has no place in me; for my body is the temple of the Holy Spirit and I have the right to reign and rule over the circumstances of life and exercise dominion over satan. I am in God’s place for my life, and the knowledge of God’s Word has brought expansion into my life.  My capacity, vision, dreams, and ideas have expanded.  I’ve received an unusual grace and I expand by the power of the Holy Spirit. I grow stronger by the day, like a cedar in Lebanon, and flourish like the palm tree!  I make progress by the Spirit, and of my increase, greatness, and prosperity, there shal...

The Power of Words

Image
 *** You Can Influence Anything With Your Words! *** We having the same spirit of faith, according as it is written, I believed, and therefore have I spoken; we also believe , and therefore speak(2 Corinthians 4:13). During His early ministry, the Lord Jesus displayed absolute mastery over the circumstances of life, including the forces of nature. On a particular occasion, He was hungry and walked to a fig tree, hoping to find some fruit to eat. But the tree was fruitless, as it was not yet the season for figs. The bible records that Jesus spoke to the fig tree and said, “…no man eat fruit of thee hereafter forever. And His disciples hard it (mark 11:14). The master talked to a tree; He spoke out for so loud, His disciples’ heard Him! The next day, peter, recalling what had happened the previous day, called the master’s attention to the fig tree, saying, “Master, behold the fig tree which thou cursedst is withered away” (mark 11:21). From his response, Jesus made us understand that...