Posts

February - Mwezi wa Kumiliki

Image
MCH. CHRIS OYAKHILOME DSC DD Hizi ni nyakati maalumu katika ufalme wa Mungu.  Ni nini Mungu anatuambia kuhusu mwezi Februari? Obadiah 1:17, Bali katika mlima Sayuni watakuwako wenye kuokoka, nao utakuwa mtakatifu; na nyumba ya Yakobo watamiliki milki zao. Joshua 14:7-15  ....... 12 Basi sasa unipe mlima huu, ambao BWANA alinena habari zake siku hiyo; kwani wewe ulisikia siku hiyo jinsi Waanaki walivyokuwa huko, na miji ilivyokuwa mikubwa yenye boma; yumkini yeye BWANA atakuwa pamoja nami, nami nitawafukuza watoke nje, kama BWANA alivyonena. 13 Yoshua akambarikia, akampa Kalebu, huyo mwana wa Yefune, Hebroni kuwa urithi wake..... Kalebu alimtaka Joshua atimize maneno ya Musa kama yalivyonena juu yake.   Hebroni ilikuwa imejaa Majitu, lakini kwa sababu ya neno la Musa, Yoshua alimpa Kalebu Hebroni kama urithi wake.   Kalebu alifukuza Majitu yote na kuchukua umiliki wa eneo lile. Alibadilisha urithi kuwa milki yake.   Ni jambo moja kupewa au kukasimi...

Power Over Crisis

Image
Learn to use your mouth to control your life.  Your life follows the direction of your mouth.  *SAY THIS LOUD πŸ“’πŸ“’πŸ“’* I am eternally victorious in Christ.  I have power over crisis; I am prospering exceedingly, manifesting the righteousness and dominion of Christ everywhere.  I live above, and far beyond the distracting elements of this world, because I live in Christ. Hallelujah!  Doors of opportunities are open unto me in different continents of the earth.  My name regularly comes up for the right opportunities. Nothing will ever take me by surprise because I have inside information.  I am an offspring of the Word, I eat of the good of the land; for the earth and the fullness thereof belongs to me.  I am joined to the Lord; I have become one with Him. I only play one game and that is winning.  There’s nothing that I do that fails. If I ever get involved, God is involved. I am anointed to succeed; I don’t believe in failure and I can never f...

Kubarikiwa Inamaanisha Nini!

Image
Watu wengi wanatumia neno nimebarikiwa au nataka niombe nibarikiwe, lakini bado wengi wao hawajui maana ya neno kubarikiwa.   Kubarikiwa inamaanisha kusababisha kitu au mtu kufanya kazi kwa ubobevu wa hali ya juu zaidi kupita vipangamizi vyote. Kwa maneno mengine ule uwezo wa kile kitu au mtu aliokuwa nao ghafla unafunguliwa kutoka katika vizuizi na kila aina ya upinzani uliokuwepo kinyume nao na unaanza kutenda kazi kwa ubora wake wote.  Tunaweza kuona hili katika injili ya Mathayo 14: 15-21 ambao Bwana Yesu alishukuru na kubariki mikate mitano na samaki 2 ambacho kilikuwa chakula cha kijana mdogo na kuwalisha umati wa wanaume 5000 bila kuhesabu wanawake na watoto.  Mikate na samaki zilipokea nguvu ya kujizalisha bila kukoma, kiasi kwamba kila ikivunjwa na kugawiwa haikuisha wala kupungua. Huu ndio unapaswa kuwa uzoefu wa maisha yako kila siku, kwa sababu umebarikiwa kwa baraka zote za rohoni ndani ya Kristo Yesu. Wewe ni kama mti uliopandwa kando kando ya vijito vy...

A teeneger with a Difference

Image
 Welcome to the world of Aimbora Deus, a Christian teenager living in Southwest Tanzania. As an evangelist and icon of good and sound moral values, Aimbora’s faith in Jesus Christ drives his life decisions each day. Despite the ever-growing societal pressures placed on teenagers for acceptance by their peers—Aimbora courageously stands tall as a beacon of light amongst darkness and deception propagated by evil and mean men.  From participating in church and local community events to volunteering at ophanage homes—Aimbora is committed to His Lord & Savior Jesus Christ rather than fleeting joys provided by evil influences attempting coup d'Γ©tats upon young minds like himself. He often finds solace from divine scriptures read during personal and group bible study or through regular conversations with members within the teevo club meetings he conduct once every week!  Of course there are days wherein he encounter challenges from his friends, studies and even at home but h...