Posts

Showing posts from December, 2024

Siku ya Kufikia Ulimwengu Mzima kwa Rhapsodi ya Uhakika

Image
Yohana 14:21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake. Usambazaji wa nakala za Rhapsodi ya Uhakika katika stendi ya Simu 2000 na ya wilaya ya Ubungo. Dhihirisha Upendo wako Kwa Bwana Yesu msimu Kwa kudhamini nakala za Rhapsodi ya Uhakika ili zisambazwe Kila Mahali ndani ya ardhi ya Tanzania. Lipa namba: 5511503 (voda). Rhapsodi ya Uhakika ipenya na kusambaa ndani ya soko la simu 2000 .   Kampeni hii kubwa bado inaendelea mpaka mwisho wa mwezi huu. Tafadhali ungana nasi kukamilisha azma hii na kutimiza jukumu lenye thawabu hapa duniani na Mbinguni pia.  Wasiliana nasi kwa namba hizi  0736000999. #rhapsodiyauhakika #tanzania🇹🇿 #tnieac4 #rhapsodyofrealities #injili #rhapsodyman #teenagers #teens #kijana #kimara #kimaramwisho #kimarastopover #daressalaam #ubungo #reachoutworldday